Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™
Zaburi 117
1Msifuni Bwana , enyi mataifa yote; mtukuzeni yeye, enyi watu wote.
2Kwa kuwa upendo wake kwetu ni mkuu, uaminifu wa Bwana unadumu milele. Msifuni Bwana .