KING JAMES BIBLETafuta

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™

Zaburi 134

Zote · ZaburiTafuta

1Msifuni Bwana , ninyi nyote watumishi wa Bwana , ninyi mnaotumika usiku ndani ya nyumba ya Bwana .

2Inueni mikono yenu katika pale patakatifu na kumsifu Bwana .

3Naye Bwana , Muumba wa mbingu na dunia, awabariki kutoka Sayuni.

Sources and attribution